Kiumbe anayekimbia kuliko wote duniani ni Peregrine Falcon (jamii ya tai) anayepatikana Amerika ya Kaskazini ndiye aliyeripotiwa kukimbia zaidi kuliko viumbe wengine wote Duniani. Peregrine anauwezo wa kukimbia kilomita 240 kwa saa wakati anashuka.
Ana urefu wa mbawa inayofikia futi 2.4 – 3.9. (Akiwa mkubwa)
Ana uzito wa; jike ni 1.1 – 3.3 ratili na dume ratili 0.73 – 2.2
Maoni:vipi kuhusu farasi….au hamumjui…?