Sio Lazima Tutumie Tanganyika, Tanzania Bara, Iwe Azania!!

0
206

Mwalimi JK Nyerere na Azania LiberationWakati kuna kila dalili za nchi mpya kuzaliwa, ni fursa ya pekee kuchagua jina litakalo tafsiri nchi mpya yenye mabonde, maziwa na asali. Tunao uhuru wa kuchagua jina jipya kabisa badala ya jina Tanganyika au Tanzania Bara.

Zaidi ya watanzania wa bara 60% sio Watanganyika na hawaijui Tanganyika ila wamesoma kwenye vitabu vya historia tu
Mimi napendekeza nchi yetu mpya iitwe
“Azania”  lenye maana ya nchi ya watu weusi
-The land of black people
Hili neno linadhaniwa kutokana na neno la kiarabu au kiajemi linatumika sana Afrika Mashariki na Afrika ya Kusini
Ni neno lililotumika kama Alama au nembo ya utaifa na mapinduzi kutoka katika ubaguzi wa rangi huko Afrika ya kusini
Azania is a symbol of nationalism or liberation against apartheid in South Africa

Leave your comment about Sio Lazima Tutumie Tanganyika, Tanzania Bara, Iwe Azania!! using the comment form below

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here