Tanzania ni makaburini?

0
146

Viongozi wa TANZANIA:
Wanaweka pesa USWISS,
Wanatibiwa INDIA,
Wanajenga LONDON,
Wanawekeza U.S.A au S.AFRICA,
Shopping DUBAI,
Likizo na matanuz PARIS na kuungama wanaenda Israel au SAUD ARABIA lakini wakifa wanazikwa TANZANIA,hivi? Tanzania ni MAKABURINI au?. Nijibu isijekuwa naishi makaburini bila kujua.

Leave your comment about Tanzania ni makaburini? using the comment form below

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here