Tembo ni Mnyama Mkubwa Kuliko Wote Duniani

2
7538
Tembo wa Africa - Mnyama Mkubwa Kuliko Wote wa Nchi Kavu Duniani

Tembo wa Afrika ndiye mnyama wa nchi kavu mkubwa kuliko wote duniani. Tembo wanapatikana kwa wingi katika mbuga za wanyama za Tarangire, Ngorongoro, Serengeti, Ruaha, Mikumi, nk. nchini Tanzania

Sifa za Tembo:

  • Tembo anaweza kula hadi kilo 270 za nyasi kwa siku,
  • Anaweza kunywa hadi lita 200 za maji mara moja na
  • Anaweza kunya hadi kilo 150 ya kinyesi kwa siku.
  • Tembo ana urefu wa hadi futi 13
  • Ana uzito wa hadi tani 8
  • Ananyonyesha kwa takribani miezi 22
  • Anaweza ishi mpaka miaka 60-70

Leave your comment about Tembo ni Mnyama Mkubwa Kuliko Wote Duniani using the comment form below

2 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here