Timu za Mpira wa Miguu 10 Tajiri Kuliko Zote Duniani

5
31416

Timu za Uingereza ndizo zinazoongoza kwa kuwa na jumla ya timu tano (Man United, Mancity, Chelsea, Arsenal na Liverpool) kwenye orodha ya timu 10 tajiri zaidi duniani na zote zikiwa na dhamani ya dola za kimarekani bilioni 8.112, zikifuatiwa na timu mbili (Real Madrid na FC Barcelona) za Uhispania zenye jumla ya dhamani ya dola za kimarekani bilioni 6.43. Timu ya Ujerumani ya Bayern Munich ndio pekee iliyo kwenye 10 bora ina dhamani ya dola za kimarekani bilioni 2.34 huku timu mbili za Uitaliano (Juventus na AC Milan ) zote zikiwa na dhamani ya dola za kimarekani bilioni 1.612

Timu Tajiri kwa Dhamani ya Timu

JinaThamani TimuMapato ya MwakaNchiJina rasmi ya ligi
1.     Real Madrid$3.26 bilioni$746 milioniSpainLa Liga
2.     Barcelona$3.17 bilioni$657 milioniSpainLa Liga
3.     Manchester United$3.10 bilioni$703 milioniUKBarclays Premier League
4.     Bayern Munich$2.34 bilioni$661 milioniGermanBundesliga
5.     Manchester City$1.37 bilioni$562 milioniUKBarclays Premier League
6.     Chelsea$1.36 bilioni$526 milioniUKBarclays Premier League
7.     Arsenal$1.30 bilioni$486 milioniUKBarclays Premier League
8.     Liverpool$982 milioni$415 milioniUKBarclays Premier League
9.     Juventus$837 milioni$379 milioniItalySerie A
10.  AC Milan$775 milioni$339 milioniItalySerie A

Timu Tajiri kwa Mapato ya Mwaka

Jina la timuMapatoMATCH-DAY BROADCASTING COMMERCIAL
Real Madrid €549.5m €113.8m€204.2m€231.5m
Manchester United €518m €129.6m€162.3m€226.4m
FC Bayern Munich €487.5m €88m€107.7m€291.8m
FC Barcelona €484.6m€116.8m€182.1m€185.7m
Paris Saint Germain €474.2m €63.1m€83.4m€327.7m
Manchester City €414.4m €56.8m€159.3m€198.5m
Chelsea €387m €84.4m€167.3m€136.7m
Arsenal €359.6m €119.8m€147.3m€92.3m
Liverpool €305.9m €61mm€120.8m€124.1m
Juventus €279.4m €41m€153.4m€85m

Leave your comment about Timu za Mpira wa Miguu 10 Tajiri Kuliko Zote Duniani using the comment form below

5 COMMENTS

  1. Maoni: Katika Ligi Kuu Ya Uingereza, Man U Imekuwa Ikifungwa Mara Kwa Mara Kitendo Ambacho Kinatufanya Sisi Kama Mashabiki Tunayoipenda Timu Yetu Tuvunjwe Moyo. Tunachowaomba Wachezaji Waongeze Bidii.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here