Twiga wa Afrika – Myama Mrefu Kuliko Wote Duniani

0
5296
Twiga wa Afrika - Myama Mrefu Kuliko Wote Duniani

Kiumbe mrefu kuliko wote dunianiTwiga ni kiumbe mrefu kuliko wote duniani na anapatikana Afrika. Ndiye mnyama mkubwa anayekula majani. Twiga anakadiriwa kuwa anaweza kukua hadi futi 19

Ananyonyesha kwa miezi 13 – 15 months
Anakimbia kilomita 37 kwa saa
Dume ana urefu wa futi 16 – 20 jike ana urefu wa  futi 15
Dume ana uzito wa ratili 3,500 na jike ana uzito wa ratili 1,800

Leave your comment about Twiga wa Afrika – Myama Mrefu Kuliko Wote Duniani using the comment form below

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here