UKWAWA WAUTWAA UMEYA WA DAR

0
286

Hatimaye baada ya vuta nikuvute ya muda mrefu uchaguzi wa Meya wa jiji la Dar umefanyika jana na kumpata mshindi ambaye sio mwingine bali Diwani wa kata ya Vijibweni, Temeke kupitia Chama cha Demikrasia na Maendeleo CHADEMA Mhe. Isaya Charles Mwita.

Uchaguzi huo ulifanyika kwenye ukumbi wa Karimjee na matokeo yalikuwa kama ifuatavyo:

  1. Jumla ya wajumbe walikuwa ni 158
  2. Idadi ya kura zilizoharibika  7
  3. Idadi ya kura halali  151
  4. Isaya Mwita (CHADEMA) Kura  84
  5. Yenga Omary (CCM) kura 67Uchaguzi wa Meya Jiji la Dar Machi 2016

 

Leave your comment about UKWAWA WAUTWAA UMEYA WA DAR using the comment form below

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here