Ushuhuda wa Malaya Aliyeokoka

0
993

NAKUOMBA UKIPATA MDA USOME HAYA
Jina langu naitwa Angelina ni Malaya niliyekubuhu kwa miaka 7 , Nilifanya umakalaya bila kujali udogo wala ukubwa wa mtu..pia nilijulikana kijamii na kimataifa zaid kwa kazi yangu. Baada ya muda niliamua kumrudia Mungu kwa kwenda kanisa moja lililopo karibu na mjini, nikaombewa na kuoka, Baada ya miaka kadha kupita. Nilibahatika kuolewa la zaidi ni kwamba sikuwahi kutoa siri ya kile nilichokuwa nikikifanya miaka kadha iliyopita, pia ni pamoja na kufanya Abortion za kutosha.


Baada ya miaka miwili ya ndoa yetu bila kuwa na mtoto, mume wangu alikuwa na hofu kubwa lakini niliendelea kukaa kimya bila kutoboa siri kubwa iliyofichika. Niliogopa sana maana nilijua mume wangu anaweza fanya lolote lile. 

Siku moja, nikiwa kanisani.. Mchungaji alifanya maombi na kusema kila mwanamke anapaswa kutoa kitu kwa wamama wasiokuwa na watoto!  Pamoja na mimi sikuwa na Mtoto kwa imani niliamua kutoa kile nilichokuwa nacho. Baada ya siku kadha kupita bila kutarajia nilishika Mimba, sasa Namshukuru Mungu sasa ni mama wa watoto watatu 2 boys na 1 girl.


Ingawa madaktari walitoa kizazi changu kutokana na kutoa mimba mara kwa mara, Madaktari walishikwa na mshangao mkubwa, kutoamini kwamba inawezekanaje mtu kutolewa kizazi na kushika mimba? Lakini sasa Mungu amefanya muujiza.


SASA SOMA HII.
Mchungaji wangu alinitabiria kwamba kila mtu atakaye Share story yangu bila kujali dini yake atapokea Muujiza katika njia asiyotegemea.


Nimeamua kushare story yangu ili
1.)Upokee Muujiza wako katika hali usiyotegemea
2.)Kukutia Moyo bila kujali dini yako kuwa Mungu
anaweza badilisha kwa namna ambavyo tunashidwa kufikiri.


WENGI WA WATAISOMA HII NA WATAIDHARAU HII NI KWASABABU WENGI WAMEITWA LAKINI WATACHAGULIWA WACHACHE.
“SASA NAKUOMBEA, KWA KILA MKONO UTAKAODIRIKI KUCOMMENT HAPA MAY THE LORD GOD EMBARRASS YOU WITH A GREAT
MIRACLE TODAY AS HE DID FOR ME”. TYPE AMEN NA SHARE HII STORY KADIRI UWEZAMVYO ILI KUPOKEA MUUJIZA WAKO, TAFADHALI KAMA UTADHARAU ACHA.

Leave your comment about Ushuhuda wa Malaya Aliyeokoka using the comment form below

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here