Usiri wa Taarifa

Tovuti hii inatumia teknolojia ya cookies ambao huchukua na kuhifadhi kwa muda taarifa zako zinazoendana na utafutaji na utembeleaji wa kuras mbali mbali katika tovuti hii ili upatiwe huduma bora ya haraka na inayoendana na mahitaji yako

Tunachukua pia majina yako, barua pepe na simu ikibidi ili tuweze kukutafuta baadaye kama ikibidi kufanya hivyo na kwa hisani, ruhusa na nafasi yako. Kamwe hatutumia mawasiliano yako kibiashara ama kwa maovu yeyote. Pia taarifa zako huhifadhiwa salama kabisa na hakuna mtu yeyote mwenye kuweza kuchukua mawasiliano yako kutoka kwetu

Leave your comment about Usiri wa Taarifa using the comment form below