Vichekesho

Tembo akichezaUkurasa huu utakuwa unaonyesha vichekesho mbalimbali live.

Tafiti zinaonyesha kuwa mtu akicheka anatumia misuli hata mpaka chini ya 13% ambayo ndiyo misuli ya chini kabisa kuliko zote na hivyo kumuongeze mhusika miaka ya kuishi hapa duniani. Pia kucheka inasaidia kukuepusha na uwezekano wa kupatwa na maradhi zaidi ya 70% yanayompata binadamu zikiwepo TB, vidonda vya tumbo, shinikizo la damu (hypertension), asma, kuumwa kichwa, magonjwa ya macho na masikio nk.

Kwa kukasirika mtu anakadiriwa kutumia misuli takriban 75% ambayo ndiyo misuli ya juu kutumiwa na mwanadamu katika shughuli za mwili ya kawaida tu na kukupunguzia umri wako wa kuishi. Pia inakadiriwa kuwa zaidi ya 70% ya maradhi yanayompata binadamu zikiwepo TB, vidonda vya tumbo, shinikizo la damu (hypertension), asma, kuumwa kichwa, magonjwa ya macho na masikio nk husababishwa na kukasirika mara kwa mara. Hivyo basi, ukurasa huu umebuniwa kukuepusha nahayo yote. Usikae mbali na ukurasa huu ili kupata vichekesho vya kukuponya na shida hizo lukuki.

[liveblog]

Leave your comment about Vichekesho using the comment form below