Vichekesho vya makabila ya Kitanzania

3
8898
NANI ZAIDI?
 1. Mpare anayeenda benki na spana kufungua akaunti AU
 2. Msambaa anayevua viatu kuingia kwenye taxi  AU
 3. Mkwere anayeingia kitandani na rula kupima atalala kwa muda gani  AU
 4. Nesi wa kisukuma anayemuamsha mgonjwa usingizini ili ampe dawa ya usingizi  AU
 5. Mchaga anayepunguza sauti ya tv ili asome sms  AU
 6. Mluguru anayekwea mwembe kuchagua yaloiva halafu anashuka na kuyaangua kwa mawe  AU
 7. Mngoni anayeng’arisha viatu vyake ili apige passport size!  AU
 8. Mwiraq anayesema Daresalamu ni kubwa kuliko Tanzania  AU
 9. Mama yeyo anayelipia nauli ya gari na kusimama ndani gari mzigo kichwani  AU
 10. Mtoto wa mjini anayejua majina ya waigizaji wote filamu za holywood na wachezaji wote wa ligi ya uingereza lakini jina la mwalimu wake hamjui  AU
 11. Mzaramo anayetembea KM 15 kwenda kulima akifika analima miguu mitatu na kurudi nyumbani
nipe jibu 

Leave your comment about Vichekesho vya makabila ya Kitanzania using the comment form below

3 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here