Vichekesho vya Mmasai na Basi la Abiria

3
11625

Mojawapo ya vichekesho vingi vya kimasai, hiki kilinivunja mbavu

Kulikuwa na basi moja la abiria likitokea Dar es salaam kwenda morogoro, baada ya kupita Chalinze kama kilomita 50 hivi, utingo wa basi alimuona abiria wa kimasai akisimamisha basi. Hapo utingo kwa haraka alimuashiria dereva asimamishe basi ili waongeze abiria.

Cha kuchekesha ni hii, mmasai baada ya kuingia ndani ya basi kwa ujasiri kabisa aliomba kama kuna abiria mwenye kiberiti ili awashe msokoto wake wa sigara.

Basi zima likaangukia kucheka na kunjika mbavu akiwemo dereva na konda.

Wamasai bwana, wanajali mambo yao tu

Leave your comment about Vichekesho vya Mmasai na Basi la Abiria using the comment form below

3 COMMENTS

  1. Maoni:jamaa nabint walikutana eneo Fulani kumbu walisoma shule moja Nahata ivyo waliwai kutomtongoza ns binti uyo baada yakumaliza shule walikutana miaka 6 mbele polini tu.kama kumuona ilibidi akumbushe story.kumtulia binti mala kujishika kishwa oho shingo kumbe amenogewa nastori siameaza kutoa maneno mazuli yakimahaba.jamaa Kanogewa namaneno yabint.ghafla mboo ikaaza kuchezacheza jamaa kaiangalia mboo bado ilikuwa inakwenda kasi kusimama binti ilibidi naye angalie kile ambacho anakigusagusa.mahajabu sasa mana kaaza kuongea bamboo take .eti wee!mboo mboo Mimi nakuandalia eneo ucheze unajifanya unaharaka eti,sasa nakuambiaje Mimi stongozi tens nakuachia wewe utongoze na izoharaka zako izo…yaliyo endelea usijali endelea kuwa pamoja nasi

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here