Vichekesho vya Wakenya – Kiswahili na Kiingereza

0
10214

Vichekesho vya je wajuaWAKENYA TUNATAKA PRESIDENT IKO NATIMIZA MABO HAYA:-

 1. Introduce petrol ya satchet kwa watu wa vitz
  na probox..(no offense)
 2. Wapunguze bei ya mutura na mahindi choma
  juu wanatumia gas kuchoma.
 3. Siku za mwizi ziongezwe from 40 to 70 juu
  kumekauka.
 4. Bei ya iphone ireduce juu mtu alishaa bite
  hiyo apple.
 5. Tissue paper itolewe hiyo second sheet.
  (inakuwanga ya nini by the way?)
 6. Ile light huwanga “at the end of the tunnel”
  izimwe to save energy.
 7. Ma subscribers wa Safcom wote warudishiwe
  hiyo “bob” ikokwa jina la Collymore. Huyo
  jamaa anakula bob kwa kila subscriber, siyo poa,
  inafaa abaki tu Collymore.
 8. Miguna Miguna anyanganywe jina moja
  wapatie wenye hawana majina kama Nameless.
 9. Gava ifungue Mr. Broke coz hatuwezani na Mr.
  Price
 10. Bei ya doughnut ibaki vilevile but wapunguze au wazibe ile
  shimo ya kati
 11. Bei ya soda ipunguzwe coz haikuwangi imejaa
  ama wajaze
 12. The road to success ikuwe super highway ndio
  wasee wafike haraka
 13. Atoe remix ya national anthem iwe na beats za Heart & Soul riddim.
 14. Wapunguze fare ya kwenda S.africa kwa ndege juu ni mteremko ndege haitumii mafuta

Zinazofanana

Nairobi street ComediansNairobi street Comedians
Nairobi Street Comedians. Vichekesho. 1992 outside Uchumi, lunch can be more than food.

vichekeshovichekesho
rasulo12’s webcam video January 02, 2011, 04:04 PM.

 

WACIAMA 2 (Sammy and Jeff Macharia)KENYAWACIAMA 2 (Sammy and Jeff Macharia)KENYA
Waciama online.

 

ADABU ZA WANA NDOA Prt 1 Sheikh Juma Amir wa Nairobi Kenya By Ahmed Ahlusuna TV Mwanza tzADABU ZA WANA NDOA Prt 1 Sheikh Juma Amir wa Nairobi Kenya By Ahmed Ahlusuna TV Mwanza tz
ADABU ZA WANA Prt 1 Sheikh Juma Amir wa Nairobi Kenya By Ahmed Ahlusuna TV Mwanza tz. ahlusunawaltowhiid96 videos. Subscribe Subscribed Unsubscribe 187. 15079. Like 26 Dislike 1. Like …. Mawaidha Sheikh Jabir Yusuf Katura wa Mwanza Tz na Sheikh Juma Amir wa Nairobi Kenya By Ahmed Ahlusuna TV Mwanza Tzby ahlusunawaltowhiid 4433 views · 4209. Watch Later Kujionyesha By Sheikh Hamza MansoorAhmed Ahlusuna TV Mwanza Tzby ahlusunawaltowhiid 1899 views

Entertainment Ndio MzeeEntertainment Ndio Mzee
Tanzanian kenya comedy.

 Memorable Jokes: Humor, Jokes and Funny Pictures
http://www.vichekesho.blogspot.com/
Jul 18, 2012 A Kenyan is enjoying a hearty breakfast – bacon, eggs, coffee, Kenyan: Do you have sex in America? …… www.vichekesho.blogspot.com

Kali, Vibomu na vichekesho pia | Facebook
http://www..com/pages/Kali-Vibomu-na-vichekesho-pia/150310385067992
Kali, Vibomu na vichekesho pia. 11402 likes · 134 talking about this.

Kusanyiko Ya Vichekesho Na Ujumbe Wa Kisasa | Facebook
http://www..com/pages/Kusanyiko-Ya-Vichekesho-Na-Ujumbe-Wa-Kisasa/202684156468835
Kusanyiko Ya Vichekesho Na Ujumbe Wa Kisasa. 681 likes · 7 Purely for Vichekesho. About LikeUndo. MaDEm nA MaCHaLI Wa KEnYA + LoVe aFFaIrZ

Comedy/Vichekesho – BongoCelebrity
http://www.bongocelebrity.com/category/comedyvichekesho/
1 Machi 2013 Comedy/Vichekesho. AIM Group shares its digital knowledge in the Mobile Web in Africa 2013 conference in Nairobi, Kenya!

Acha maoni yako kuhusu kwa kutumia fomu hapa chini

Weka majibu hapa

Tafadhali weka maoni
Tafadhali weka majina yako hapa