Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) mnamo tarehe 13 Agosti 2015 kilitangaza majina ya wagombea ubunge, ubunge viti maalum, uwakilishi na uwakilishi viti maalum. Akizungumza na waandishi wa habari kwenye ofisi za makao makuu ya CCM mjini Dodoma, Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye amesema kuwa kuna baadhi ya majimbo ambayo yamelazimika kurudia kupiga kura za maoni na mengine kuhesabu upya kura zilizopigwa.
WANACHAMA WA CCM WALIOTEULIWA KUGOMBEA UBUNGE NA UWAKILISHI WA MAJIMBO NA VITI MAALUM KATIKA UCHAGUZI WA MWAKA 2015
NA. | MKOA | WILAYA | JIMBO | ALIYETEULIWA |
1. | Arusha | Arusha Mjini | Arusha | Ndugu Philemon Mollel |
Karatu | Karatu | Dkt. Wilbard Slaa Lorri | ||
Arumeru | Arumeru Magharibi | Ndugu Loy Thomas ole Sabaya | ||
Arumeru Mashariki | Ndugu John Danielson Sakaya (JD) | |||
Longido | Longido | Dkt. Stephen Lemomo Kiruswa | ||
Monduli | Monduli | Ndugu Namelock Edward Sokoine | ||
Ngorongoro | Ngorongoro | Ndugu William Tate ole Nasha | ||
2. | Dar es Salaam | Ilala | Ukonga | KURA ZINARUDIWA |
Ilala | Ndugu Zungu Mussa Azzan | |||
Segerea | Ndugu Bonna Mosse Kaluwa | |||
Temeke | Temeke | Ndugu Abasi Zuberi Mtemvu | ||
Kigamboni | Dkt. Faustine Engelbert Ndugulile | |||
Mbagala | Ndugu Issa Ally A. Mangungu | |||
Kinondoni | Kawe | Ndugu Kippi Ivor Warioba | ||
Ubungo | Dkt. Didas John Masaburi | |||
Kibamba | Dkt. Fenela E. Mkangala | |||
Kinondoni | Ndugu Iddi Azzan | |||
3. | Dodoma | Chemba | Chemba | Ndugu Juma Selemani Nkamia |
Bahi | Bahi | Ndugu Omar Ahmed Badwel | ||
Mpwapwa | Kibakwe | Ndugu George Boniface Simbachawene | ||
Mpwapwa | Ndugu George Malima Lubeleje | |||
Chamwino | Mtera | Ndugu Livingstone Joseph Lusinde | ||
Chilonwa | KURA ZINARUDIWA | |||
Dodoma Mjini | Dodoma Mjini | Ndugu Antony Peter Mavunde | ||
Kongwa | Kongwa | Ndugu Job Y. Ndugai | ||
Kondoa | Kondoa Mjini | Ndugu Sanda Edwin | ||
Kondoa Vijijini | Dkt. Ashatu Kijaji | |||
4. | Geita | Geita | Geita Mjini | Ndugu Costantine John Kanyansu |
Geita Vijijini | Ndugu Joseph Lwinza Kasheku | |||
Busanda | Ndugu Lolensia Masele Bukwimba | |||
Mbogwe | Mbogwe | Ndugu Augustino Manyanda Massele | ||
Bukombe | Bukombe | Ndugu Doitto Mashaka Biteko | ||
Chato | Chato | Dkt. Medard Matogolo Kalemani | ||
Nyangwale | Ndugu Hussein Nassor Amar | |||
5.. | Iringa | Iringa Mjini | Iringa Mjini | Ndugu Mwakalebela Fredrick Wilfred |
Iringa Vijijini | Isimani | Ndugu William Vangimembe Lukuvi | ||
Kalenga | Ndugu Godfrey William Mgimwa | |||
Kilolo | Kilolo | KURA ZINARUDIWA | ||
Mufindi | Mufindi Kaskazini | Ndugu Mahmoud Hassan Mgimwa | ||
Mufindi Kusini | Ndugu Mendrad Lutengano Kigola | |||
Mafinga Mjini | Ndugu Cosato David Chumi | |||
6 | Kagera | Bukoba Mjini | Bukoba Mjini | Balozi Khamis Sued Kagasheki |
Bukoba Vijijini | Bukoba Vijijini | Ndugu Jasson Samson Rweikiza | ||
Biharamulo | Biharamulo | Ndugu Osca Rwegasira Mkassa | ||
Karagwe | Karagwe | Ndugu Innocent Luugha Bashungwa | ||
Kyerwa | Kyerwa | Ndugu Innocent Sebba Bilakwate | ||
Muleba | Muleba Kaskazini | Ndugu Charles John Mwijage | ||
Muleba Kusini | Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka | |||
Misenyi | Nkenge | Ndugu Diodorus Buberwa Kamala | ||
Ngara | Ngara | Ndugu Alex Raphael Gashaza | ||
7. | Katavi | Mpanda | Mpanda Mjini | Ndugu Sebastian Simon Kapufi |
Mpanda Vijijini | Ndugu Moshi Selemani Kakoso | |||
Mlele | Katavi | Ndugu Issack Aloyce Kamwele | ||
Nsimbo | Ndugu Richard Philip Mbogo | |||
Kavuu | Dkt. Pudenciana Wilfred Kikwembe | |||
8. | Kigoma | Kakonko | Buyungu | Eng. Christopher K. Chiza |
Kibondo | Muhambwe | Eng. Atashasta Nditye | ||
Kasulu | Kasulu Mjini | Ndugu Daniel Nsanzugwanko | ||
Kasulu Vijijini | Ndugu Augustino Vuma Holle | |||
Buhigwe | Manyovu | Ndugu Albert Obama Ntabaliba | ||
Kigoma Mjini | Kigoma Mjini | Ndugu Amani Walid Kabourou | ||
Kigoma Vijijini | Kigoma Kaskazini | Ndugu Peter Joseph Serukamba | ||
Uvinza | Kigoma Kusini | Ndugu Hasna Sudi Mwilima | ||
9. | Kilimanjaro | Hai | Hai | Ndugu Danstan Lucas Mallya |
Siha | Ndugu Aggrey Deaidile Mwanri | |||
Moshi Mjini | Moshi Mjini | Ndugu Mosha Davis Elisa | ||
Mwanga | Mwanga | Profesa Jumanne A. Maghembe | ||
Same | Same Mashiriki | Ndugu Anne Kilango Malecela | ||
Same Magharibi | Ndugu David Mathayo David | |||
Moshi Vijijini | Moshi Vijijini | Dkt. Cyril August Chami | ||
Vunjo | Ndugu Innocent Melleck Shirima | |||
Wilaya | Rombo | Ndugu Sanje Samora Colman | ||
10. | Lindi | Ruangwa | Ruangwa | Ndugu Majaliwa Kassim Majaliwa |
Liwale | Liwale | Ndugu Faith Mohamed Mitambo | ||
Nachingwea | Nachingwea | Ndugu Hassan Elias Masala | ||
Lindi Vijijini | Mtama | Ndugu Nape Moses Nnauye | ||
Mchinga | Ndugu Said Mohamed Mtanda | |||
Lindi Mjini | Lindi Mjini | Ndugu Hassan Seleman Kaunje | ||
Kilwa | Kilwa Kusini | Ndugu Hasnain Gulamabas Dewji | ||
Kilwa Kaskazini | Ndugu Murtaza Ally Mangungu | |||
11. | Mara | Bunda | Bunda Mjini | Ndugu Steven Masatu Wasira |
Mwibara | Ndugu Kangi Alphaxard Lugola | |||
Bunda Vijijini | Ndugu Boniface Mwita Getere | |||
Tarime | Tarime | Ndugu Christopher Ryoba Kangoye | ||
Tarime Mjini | Ndugu Michael Mwita Kembaki | |||
Serengeti | Serengeti | Dkt. Steven Kebwe Kebwe | ||
Butiama | Butiama | Ndugu Nimrod Elirehemah Mkono | ||
Butiama Vijijini | Prof. Sospeter Mwinjarubi Muhongo | |||
Rorya | Rorya | Ndugu Lameck Okambo Airo | ||
Musoma Mjini | Musoma Mjini | Ndugu Vedastus Mathayo Manyinyi | ||
12. | Manyara | Babati Mjini | Babati Mjini | Ndugu Kisyeri Chambiri |
Babati Vijijini | Babati Vijijini | Ndugu Jittu Vrajilal Son | ||
Hanang’ | Hanang’ | Dkt. Mary Michael Nagu | ||
Kiteto | Kiteto | Litaamuliwa na Kikao Kijacho cha Kamati Kuu | ||
Mbulu | Mbulu Mjini | Ndugu Zacharia Paulo Issaay | ||
Mbulu Vijijini | Ndugu Fratei Gregory Massay | |||
Simanjiro | Simanjiro | Ndugu Christopher Olonyhokie Ole Sendeka | ||
13. | Mbeya | Mbeya Mjini | Mbeya Mjini | Ndugu Sambwee Shitambala Mwalyego |
Mbeya Vijijini | Mbeya Vijijini | Ndugu Oran M. Njeza | ||
Mbarali | Mbarali | Ndugu Haroon Mullah Pirmohamed | ||
Rungwe | Rungwe | Ndugu Sauli Henry Amon | ||
Busokelo | Ndugu Atupele Fredy Mwakibete | |||
Ileje | Ileje | Ndugu Janeth Zebedayo Mbene | ||
Mbozi | Mbozi | Ndugu Weston Godfrey Zambi | ||
Vwawa | Ndugu Ngailonga Josephat Kasunga | |||
Momba | Momba | Ndugu Luca Jelas Siyame | ||
Tunduma | Ndugu Frank Mastara Sichalwe | |||
Chunya | Lupa | Ndgu Victor Mwambalaswa | ||
Songwe | Ndugu Philip A. Mulugo | |||
Kyela | Kyela | Dkt. Harrison George Mwakyembe | ||
14. | Morogoro | Morogoro Mjini | Morogoro Mjini | Ndugu Abood Mohamed Abdul Aziz |
Morogoro Vijijini | Morogoro Kusini | Ndugu Prosper Joseph Mbena | ||
Morogoro Kusini Mashariki | Ndugu Omar Tibweta Mgumba | |||
Gairo | Gairo | Ndugu Ahmed Shabiby | ||
Mvomero | Mvomero | Ndugu Suleiman Ahmed Saddiq | ||
Mikumi | Ndugu Jones Estomih Nkya | |||
Kilombero | Kilombero | Ndugu Abubakar Damian Asenga | ||
Mlimba | Ndugu Godwin Emmanuel Kunambi | |||
Ulanga | Ulanga Mashariki | Ndugu Celina Ompeshi Kombani | ||
Ulanga Magharibi | Dkt. Hadji Mponda | |||
Kilosa | Kilosa | Ndugu Mbaraka Salum Bawazir | ||
15. | Mtwara | Mtwara Mjini | Mtwara Mjini | Ndugu Hasnen Mohamed Murji |
Nanyamba | Ndugu Abdallah Dadi Chikota | |||
Mtwara Vijijini | Mtwara Vijijini | Ndugu Hawa Abdulhaman Ghasia | ||
Tandahimba | Tandahimba | Ndugu Shaibu Salum Likumbo | ||
Newala | Newala Mjini | Ndugu George Huruma Mkuchika | ||
Newala Vijijini | Ndugu Rashid Ajali Akbar | |||
Nanyumbu | Nanyumbu | Ndugu William Dua Mkurua | ||
Masasi | Ndanda | Ndugu Mariam Reuben Kasembe | ||
Masasi | Ndugu Chuachua Mohamed Rashid | |||
Lulindi | Ndugu Jerome Dismas Bwanausi | |||
16. | Mwanza | Ilemela | Ilemela | Ndugu Angelina Sylvester Lubala Mabula |
Nyamagana | Nyamagana | Ndugu Stanslaus S. Mabula | ||
Kwimba | Kwimba | Ndugu Mansoor Shanif Hiran | ||
Sumve | Ndugu Richard Maganga Ndassa | |||
Misungwi | Misungwi | Ndugu Charles Mhangwa Kitwanga | ||
Magu | Magu | Ndugu Boniventura Desdery Kiswaga | ||
Sengerema | Sengerema | Ndugu William Mganga Ngeleja | ||
Buchosa | Dkt. Charles John Tzeba | |||
Ukerewe | Ukerewe | Ndugu Christopher Nyandiga | ||
17. | Njombe | Njombe Kusini | Njombe Kaskazini | Ndugu Joram Hongoli |
Njombe Kusini | Litaamuliwa na Kikao Kijacho cha Kamati Kuu | |||
Wanging’ombe | Makambako | Ndugu Deo Kasenytenbda Sanga | ||
Wanging’ombe | Nduguy Gerson Hosea Lwenge | |||
Ludewa | Ludewa | Ndugu Deo Filikunjombe | ||
Makete | Makete | KURA ZINARUDIWA | ||
18. | Pwani | Bagamoyo | Bagamoyo | Dkt. Shukuru Kawambwa |
Chalinze | Ndugu Ridhiwani J. Kikwete | |||
Kibaha | Kibaha Mjini | Ndugu Sylvester Francis Koka | ||
Kibaha Vijijini | Ndugu Hamoud Abuu Jumaa | |||
Kisarawe | Kisarawe | Ndugu Selemani Said Jaffo | ||
Mafia | Mafia | Ndugu Mbaraka K. Dau | ||
Mkuranga | Mkuranga | Ndugu Abdallah H. Ulega | ||
Rufiji | Rufiji | KURA ZINARUDIWA | ||
Kibiti | Kibiti | Ndugu Ally Seif Ungando | ||
19. | Rukwa | Sumbawanga Mjini | Sumbawanga Mjini | Ndugu Aeshi Khalfan Hilaly |
Nkansi | Nkansi Kaskazini | Ndugu Ally Mohamed Kessy | ||
Nkansi Kusini | Ndugu Deuderit John Mipata | |||
Sumbawanga Vijijini | Kwela | Ndugu Ignas Aloyce Malocha | ||
Kalambo | Kalambo | Ndugu Josephat Sinkamba Kandege | ||
20. | Ruvuma | Songea Mjini | Songea Mjini | Ndugu Leonidas Tutubert Gama |
Nyasa | Nyasa | Ndugu Eng. Stella Martin Manyanya | ||
Tunduru | Tunduru Kaskazini | Ndugu Ramo Matala Makani | ||
Tunduru Kusini | Ndugu Daimu Iddi Mpakate | |||
Songea Vijijini | Peramiho | Ndugu Jenister Joakim Mhagama | ||
Madaba | Ndugu Joseph Kisito Mhagama | |||
Namtumbo | Namtumbo | KURA ZINARUDIWA | ||
Mbinga | Mbinga Mjini | Ndugu Sixtus Raphael Mapunda | ||
Mbinga Vijijini | KURA ZINARUDIWA KATA MBILI | |||
21. | Simiyu | Bariadi | Bariadi Magharibi | Ndugu Andrew John Chenge |
Itilima | Bariadi Mashariki (Itilima) | Ndugu Njalu Daudi Silanga | ||
Meatu | Meatu | Ndugu Salum Khamis Salumu | ||
Kisesa | Ndugu Luhanga Joelson Mpina | |||
Busega | Busega | KURA ZINARUDIWA | ||
Maswa | Maswa Mashariki | Ndugu Stanslaus Haroun Nyongo | ||
Maswa Magharibi | Ndugu Mashimba Mashauri Ndaki | |||
22. | Singida | Singida | Singida Mjini | Ndugu Ramadhani Sima |
Singida Kaskazini | Ndugu Lazaro Nyalandu | |||
Mkalama | Iramba Mashariki | Ndugu Joseph Allan Kiula | ||
Iramba | Iramba Magharibi | Ndugu Mwigulu Lamech Nchemba | ||
Manyoni | Manyoni Magharibi | Ndugu Yahya Omari Masare | ||
Manyoni Mashariki | Ndugu Daniel Edward Mtuka | |||
Ikungi | Singida Mashariki | Litaamuliwa na Kikao Kijacho cha Kamati Kuu | ||
Singida Magharibi | Ndugu Elibariki Emmanuel Kingu | |||
23. | Shinyanga | Shinyanga Mjini | Shinyanga Mjini | Ndugu Steven Masele |
Shinyanga Vijijini | Solwa | Ndugu Ahmed Ally Salum | ||
Kishapu | Kishapu | Ndugu Suleiman Masoud Nchambi | ||
Kahama | Msalala | Ndugu Ezekiel Magolyo Maige | ||
Ushetu | Ndugu Elias John Kwandikwa | |||
Kahama Mjini | Ndugu Kishimba Jumanne Kibera | |||
24. | Tabora | Tabora Mjini | Tabora Mjini | Ndugu Emmanuel Mwakasaka |
Uyui | Igalula | Ndugu Ntimizi Rashidi Mussa | ||
Kaskazini Uyui | Ndugu Maige Athumani Almas | |||
Sikonge | Sikonge | Ndugu George Joseph Kakunda | ||
Urambo | Urambo | Ndugu Margareth Samwel Sita | ||
Kaliua | Kaliua | Profesa Juma Athuman Kapuya | ||
Ulyankulu | Ndugu John Peter Kadutu | |||
Nzega | Nzega Mjini | Ndugu Hussein Mohamed Bashe | ||
Bukene | Ndugu Suleiman Juma Zedi | |||
Nzega Vijijini | Dkt. Hamis Andrea Kigwangala | |||
Igunga | Igunga | Dkt Dalaly Peter Kafumu | ||
Manonga | Ndugu Seif Hamis Said | |||
25. | Tanga | Tanga Mjini | Tanga Mjini | Ndugu Omari Rashid Nundu |
Lushoto | Lushoto | Ndugu Shabani Omari Shekilindi | ||
Bumbuli | Ndugu Januari Yusuf Makamba | |||
Mlalo | Ndugu Rashid Abdakkag Shangazi | |||
Pangani | Pangani | Ndugu Jumaa Hamidu Aweso | ||
Kilindi | Kilindi | Ndugu Omari Mohamed Kigua | ||
Mkinga | Mkinga | Ndugu Danstan Luka Kitandula | ||
Handeni | Handeni Mjini | Dkt. Abdallah Omar Kigoda | ||
Handeni Vijijini | Ndugu Mboni Mohamed Mhita | |||
Muheza | Muheza | Balozi Adadi Mohamed Rajabu | ||
Korogwe | Korogwe Mjini | Ndugu Mary Pius Chatanda | ||
Korogwe Vijijini | Ndugu Stephen Hillary Ngonyani |
ORODHA YA MAJIMBO YA UCHAGUZI 2015 UBUNGE – ZANZIBAR
NA. | MKOA | WILAYA | JIMBO | ALIYETEULIWA |
1. | Kaskazini Pemba | Wete | Gando | Ndugu Salim Bakar Issa |
Kojani | Ndugu Masoud Ali Moh’d | |||
Mgogoni | Ndugu Issa Juma Hamad | |||
Mtambwe | Ndugu Khamis Seif Ali | |||
Wete | Dkt. Abdalla Saleh Abdalla | |||
Micheweni | Micheweni | Ndugu Khamis Juma Omar | ||
Tumbe | Ndugu Rashid Kassim Abdalla | |||
Konde | Ndugu Ramadhan Omar Ahmed | |||
Wingwi | Ndugu Khamis Shaame Hamad | |||
2. | Kaskazini Unguja | Kaskazini “A” | Chaani | Ndugu Khamis Yahya Machano |
Kijini | Ndugu Makame Mashaka Foum | |||
Mkwajuni | Ndugu Khamis Ali Vuai | |||
Nungwi | Ndugu Mustafa Makame Hamadi | |||
Tumbatu | Ndugu Juma Othman Hija | |||
Kaskazini “B” | Bumbwini | Ndugu Mbarouk Juma Khatib | ||
Donge | Ndugu Sadifa Juma Khamis | |||
Kiwengwa | Ndugu Khamis Mtumwa Ali | |||
Mahonda | Ndugu Bahati Ali Abeid | |||
3. | Kusini Pemba | Chake Chake | Chake Chake | Ndugu Mbaraka Said Rashid |
Chonga | Ndugu Abdalla Omar Muya | |||
Ole | Ndugu Omar Mjaka Ali | |||
Wawi | Ndugu Daud Khamis Juma | |||
Ziwani | Ndugu Mohamed Othman Omar | |||
Mkoani | Chambani | Ndugu Moh’d Abdulrahman Mwinyi | ||
Kiwani | Ndugu Rashid Abdulla Rashid | |||
Mkoani | Prof. Makame Mnyaa Mbarawa | |||
Mtambile | Ndugu Khamis Salum Ali | |||
4. | Kusini Unguja | Kati | Chwaka | Ndugu Bhagwanji Meisuria (Mshamba) |
Tunguu | Ndugu Khalifa Salum Suleiman | |||
Uzini | Ndugu Salum Mwinyi Rehani | |||
Kusini | Makunduchi | Ndugu Haji Ameir Haji (Timbe) | ||
Paje | Ndugu Jaffar Sanya Jussa | |||
5. | Magharibi | Dimani | Dimani | Ndugu Hafidh Ali Tahir |
Chukwani | ||||
Fuoni | Ndugu Abass Ali Hassan | |||
Kiembesamaki | Ndugu Ibrahim Hassanali Mohamed | |||
Kijitoupele | Ndugu Shamsi Vuai Nahodha | |||
Mwanakwerekwe | Ndugu Ahmada Yahya Abdulwakil (Shaa) | |||
Mfenesini | Bububu | Ndugu Mwantakaje Haji Juma | ||
Mfenesini | Col. Mst. Masoud Ali Khamis | |||
Welezo | Ndugu Saada Mkuya Salum | |||
Mwera | Ndugu Makame Kassim Makame | |||
6. | Mjini | Amani | Amani | Ndugu Mussa Hassan Mussa |
Chumbuni | Ndugu Ussi Salum Pondeza | |||
Magomeni | Ndugu Jamal Kassim Ali | |||
Mpendae | Ndugu Salim Hassan Turkey | |||
Shaurimoyo | Ndugu Matar Ali Salum | |||
Mjini | Jang’ombe | Ndugu Ali Hassan Omar (King) | ||
Kikwajuni | Ndugu Hamad Yussuf Masauni | |||
Kwahani | Dr. Hussein Ali Mwinyi | |||
Malindi | Dkt. Abdulla Juma Abdalla |
ORODHA YA MAJIMBO YA UCHAGUZI 2015 BARAZA LA WAWAKILISHI – ZANZIBAR
NA. | MKOA | WILAYA | JIMBO | ALIYETEULIWA |
1. | Kaskazini Pemba | Wete | Mgogoni | Ndugu Shehe Hamad Matar |
Gando | Ndugu Maryam Thani Juma | |||
Kojani | Ndugu Makame Said Juma | |||
Mtambwe | Ndugu Khadija Omar Kibano | |||
Wete | Ndugu Harusi Said Suleiman | |||
Micheweni | Micheweni | Ndugu Shamata Shaame Khamis | ||
Tumbe | Ndugu Ali Khamis Bakar | |||
Konde | Ndugu Omar Seif Abeid | |||
Wingwi | Ndugu Said Omar Said | |||
2. | Kaskazini Unguja | Kaskazini “A” | Chaani | Ndugu Nadil Abdul-Latif Jussa |
Kijini | Ndugu Juma Makungu Juma | |||
Mkwajuni | Ndugu Ussi Yahaya Haji | |||
Nungwi | Ndugu Ame Haji Ali | |||
Tumbatu | Ndugu Haji Omar Kheri | |||
Kaskazini “B” | Bumbwini | Ndugu Mtumwa Peya Yussuf | ||
Donge | Dkt. Khalid Salum Mohamed | |||
Kiwengwa | Ndugu Asha Abdalla Mussaa | |||
Mahonda | Balozi Seif Alli Iddi | |||
3. | Kusini Pemba | Chake Chake | Chake Chake | Ndugu Suleiman Sarhan Said |
Chonga | Ndugu Shaibu Said Ali | |||
Ole | Ndugu Mussa Ali Mussa | |||
Wawi | Ndugu Hamad Abdalla Rashid | |||
Ziwani | Ndugu Suleiman Makame Ali | |||
4. | Mkoani | Chambani | Ndugu Bahati Khamis Kombo | |
Kiwani | Ndugu Mussa Foum Mussa | |||
Mkoani | Ndugu Mmanga Mjwengo Mjawiri | |||
Mtambile | Ndugu Moh’d Mgaza Jecha | |||
5. | Kusini Unguja | Kati | Chwaka | Ndugu Issa Haji Ussi |
Tunguu | Ndugu Simai Mohamed Said | |||
Uzini | Ndugu Mohamedraza H. Dharamsi | |||
Kusini | Makunduchi | Ndugu Haroun Ali Suleiman | ||
Paje | Ndugu Jaku Hashim Ayoub | |||
6. | Magharibi | Dimani | Chukwani | Ndugu Mwanaasha Khamis Juma |
Dimani | Dkt. Mwinyihaji Makame Mwadini | |||
Fuoni | Ndugu Yussuf Hassan Iddi | |||
Kiembe Samaki | Ndugu Mahmoud Thabit Kombo | |||
Kijitoupele | Ndugu Ali Suleiman Ali (Shihata) | |||
Mwanakwerekwe | Ndugu Abdalla Ali Kombo | |||
Pangawe | Ndugu Khamis Juma Mwalim | |||
Mfenesini | Bububu | Ndugu Masoud Abraham Masoud | ||
Mfenesini | Ndugu Machano Othman Said | |||
Mtoni | Ndugu Hussein Ibrahim Makungu | |||
Mtopepo | Dkt. Makame Alli Ussi | |||
Welezo | Ndugu Hassan Khamis Hafidh | |||
Mwera | Ndugu Mihayo Juma N’hunga | |||
6. | Mjini | Amani | Amani | Ndugu Rashid Ali Juma |
Chumbuni | Ndugu Miraji Khamis Mussa | |||
Magomeni | Ndugu Rashid Makame Shamsi | |||
Mpendae | Ndugu Mohamed Said Mohamed (Dimwa) | |||
Shaurimoyo | Ndugu Hamza Hassan Juma | |||
Mjini | Jang’ombe | Ndugu Abdalla Maulid Diwani | ||
Kikwajuni | Ndugu Nassor Salum Ali (Jazeera) | |||
Kwahani | Ndugu Ali Salum Haji | |||
Malindi | Ndugu Mohamed Ahmada Salum |