Wakristo Misri ni Jino kwa Jino Watu watano wauawa

0
492
Mohomed Morsy and Religious Leader in Egypt

Mohomed Morsy and Religious Leader in EgyptKuna kuwa watu watano (wakristo wanne na mwislamu mmoja) wameuawa na wengine nane kujeruhiwa kule misri katika mapigano karibu na KAiro ambayo yalisababishwa kwa wakristo wawili kuuawa nao wakaliupiza kwa kumua mwislkamu mmoja.

Wakristo hata hivyo wameandamana wakidai rais Mohamed Morsy ajiuzulu kwani ameshindwa kutetea maslahi yao kama wamisri
Mapigano na hatimaye mauaji kati ya waislamu na wakristo yameongezeka tangu kupinduliwa kwa aliyekuwa Rais wa muda mrefu wa Misri bwana Hosni Mubarak Dec 2011
Alipochaguliwa Kiongopzi wa Undugu wa Kisslamu Mohamed Morsy aliahidi kulinda maslahi ya wakristo wachache nchini humo
Sakata lilianza Ijumaa wakati kikundi cha watoto wa kiksristo walipokuwa wakichora katika ukuta mmoja wa chuo cha wasilamu mchoro unaofanan na msalaba na wao wasilamu wakalipokea kama matusi kwao
Maelezo zaidi:  Reuters

Leave your comment about Wakristo Misri ni Jino kwa Jino Watu watano wauawa using the comment form below

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here