Watangazaji wa Zamani wa Radio Tanzania Dar es salaam-RTD?

10
6997
NYERERE- IKULU Pamoja na David Wakati

Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Radio Tanzania Dar es salaam au kwa kifupi RTD kati ya miaka ya 70, 80 na 90 waliovuma katika Idhaa zake za Kiswahili na Kiingereza. Wakati huo radio zilizotumiaka alimaarufu kama redio za phillps na national na panasonic na Nationalpanasonic (National na National panasonic ni kitu kimoja) au maarufu kwa jina la dudu proof

Orodha ya Majina haya hapa:

 1. Abdallah Iddrissa Majura–
 2. Abdallah Mlawa—Kijaruba, Ombi lako
 3. Abdul Ngarawa -Taarifa ya Habari na Mazungumzo baada ya habari
 4. Abisai Steven
 5. Abou Liongo–Michezo
 6. Ahmed Jongo–(Mpira, na mnazi wa kutupwa wa yeboyebo)
 7. Ahmed Kipozi–
 8. Alex Malumwene
 9. Aloycea Maneno- Ombi lako, cheichei Shangazi, mama na mwana
 10. Ananilea Nkya Twende na Wakati, Jinsia, Utawala Bora, Harakati
 11. Bakari Msulwa- Salam
 12. Barbabas Mluge
 13. Bathoromeo Kombwa (bati Kombwa) – Wakati wa Kazi
 14. Bazir Mbakile
 15. Ben Mwang’onda
 16. Beni Kiko (“Benjamin Kikomongo”) jina lake halisi ni Bakari Kikoloma. – Enzi za vita ya Nduli
 17. Benjamin Rwegasila
 18. Bety Mkwassa – Kabla hajahamia ITV
 19. Bhaat Kombwa–Wagonjwa mahospitalini, Wakati wa Kazi
 20. Bujago Izengo wa Kadago
 21. Charles Hillary–
 22. Chillambo Dominic—
 23. Chisunga Steven- kipindi cha ugua pole
 24. Chriss Katembo
 25. Christina Chokunogela
 26. David Wakati–Duniani Wiki Hii
 27. Deborah Mwenda–Mama na mwana–wanawake na maendeleo
 28. Dominic Chilambo-
 29. Edda Sanga
 30. Fauziah Ismal-Habari
 31. Fumo Felician…
 32. Hannah Gogo Mayige-Habari
 33. Harid Ponela – club raha leo show
 34. Hassan Mkumba- matangazo ya vifo
 35. Henry Michael Libuda-  Misakato
 36. Iddi Rashid Mchata
 37. Idrisa Sadala
 38. Jacob Tesha–Habari
 39. Japhet Muura.
 40. Julius Nyaissanga–Club Raha Leo Show
 41. Juma Ngondai
 42. Khalid Ponera- Zilipendwa
 43. Kissunga Steven–Kwetu Kigoma
 44. Malima Nderema
 45. Mariam Shabba–Mambo ya jamii
 46. Martha Ngwira
 47. Michael Katembo na vipindi vyake vya Mkoa kwa mkoa, Tumbuizo asilia, Ngoma, Asilia Salam
 48. Mohamed Abdullhamaan–Michezo
 49. Mohamed Amani (Mohamed Dahman)
 50. Mohamed Ngayonga–Mchana Mwema
 51. Mshindo Mkeyenge—Michezo,
 52. Nassoro Nsekeli- alikuwa na sauti kama ya mafua hivi alikuwa mtaalamu wa kipindi cha Majira- ndiye aliyetangaza kifo cha Nico Zengekala
 53. Nazir Mayoka–
 54. Neema Kipungahelo
 55. Nswima Ernest – Nyanda za Juu Kusini
 56. Paschal Mayalla–Habari
 57. Penzi Nyamungumi = Fundi mitambo – Mtangazaji
 58. Peter Msungu–Mbili Kasoro
 59. Rashid Mchata
 60. Restuta Bukoli
 61. Richard Leo
 62. Rochus Matipa – External Service RTD
 63. Rose Haji
 64. Salama Mfamao
 65. Salim Mbonde–
 66. Salim Seif Nkamba –Mikingamo–twambie nani yuko wapi anafanya nini katika kuhujumu uchumi
 67. Sango Kipozi–Habari
 68. Sara Dumba–Mama na Mwana
 69. Sauda Simba maarufu kwa kutangaza taarifa ya habari ya lugha ya kiingereza.
 70. Sekioni Kitojo–Michezo
 71. Seleman Kumchaya–Mchana Mwema
 72. Selemani Mkufya
 73. Simba Nyamaume–Majira
 74. Siwatu Luwanda–Habari
 75. Stan (Stanslaus) Katabalo – Majira
 76. Suedi Mwinyi
 77. Suleiman Hega
 78. Suleiman Kumchaya
 79. Suleiman Muhogora
 80. Titus Philipo
 81. Titus Stephen
 82. Tumbo Risasi – Kigoma
 83. Zainab Bakilana

Kutoka Mitandao Mingine:

Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa RTD – JamiiForums
http://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/44972-tujikumbushe-watangazaji-wa-zamani-wa-rtd.html
Take a break, na tujikumbushe enzi zile za RTD, ambapo kulikuwa hakuna FMs rado kama sasa. Hakika kulikuwa na watangazaji, vipindi 

MICHUZI: October 2006
http://issamichuzi.blogspot.com/2006_10_01_archive.html
31 Okt 2006 Kumbukumbu: Tido Mhando ni mmoja wa watangazaji mahiri na Alianzia redio ya taifa, Radio Tanzania Dar Es Salaam (RTD)kabla ya 

Mwanzo wa yote ni Radio Tanzania Dar es salaam(RTD) – Mwananchi
http://www.mwananchi.co.tz/kolamu/Mwanzo-wa-yote-ni-Radio-Tanzania-Dar-es-salaam-RTD-/-/1607214/1849898/-/9ic4q1z/-/index.html
12 Mei 2013 Mwanzo wa yote ni Radio Tanzania Dar es salaam(RTD) Tangu enzi zile za magazeti ya ‘Mwafrika’, ‘Mwangaza’, ‘Mfanyakazi’, ‘Taifa’, ‘The 

enzi zile:- wapiga picha wakuu na viongozi wa … – habari na matukio
http://kajunason.blogspot.com/2011/10/enzi-zile-wapiga-picha-wakuu-na.html
30 Okt 2011 ENZI ZILE:- WAPIGA PICHA WAKUU NA VIONGOZI WA VYOMBO VYA HABARI WAKIMUAGA WA TAIFA IKULU MWAKA 1985. BAADHI 

 

Acha maoni yako kuhusu kwa kutumia fomu hapa chini

10 Maoni

 1. Dah hapa mm nilikuw sijazaliwa kabisa lakini watangazaji wa zamani sifa zao mpaka leo bado zinavuma na hii ni kwa sababu kwaasilimia kubwa mambo mengi ya zamani yalikuwa yanamvuto wake kwahiyo hongereni wote mnaoendeleza ukale wetu kwa kumbukumbu za vizazi vijavyo pia.

 2. Maoni:ebwana naomba nifahamishwe alipo mtangazaji Wa zaman taarifa ya habari anaitwa Karin betha Na Angalien mpendu pamoja Na Jacob tesha. Nitafurah sana pind nipatapo walipo jaman bila kumsahau Bakari msulwa

 3. Umenikumbusha mbali radio tanzania ilikuwa na watanzazaji makini kweli,nikiwa kijana mdogo nasoma namkumbuka dominic chillambo sana kwenye sehemy ya kutangaza mpira hakika alikuwa na kipaji cha hali juu ktk utangazaji hasa anapoitangaza timu ya pamba ya mwanza

 4. Maoni:umenikumbusha mbali sana kaka dar twende na wakati,majila harakati na vipindi vingine vngi vya kipindi hicho aiseeee

 5. ungetuwekea na vimuziki vyetu vile ingekuwa powa sana lkn kwa mpangilio mfano ;jamboooooooo.tuimbe sote,shambani juma hili.jeshi letu la poliiiiiiis,mchana mwema , ombi lakooooooo,eeee banaeee ilitulia sana na kiredio changu cha philips kuuure mara tarime kibumaye ever green land,ngombe migomba yaani raha sana natamani nirudi huko nimechoka kuishi ulaya, haya fanya mambo bana michuzi nasubiri hapa hapa ofisini

  • Naitwa Peter kilasa,Mie namtafuta bibi yangu mzaa Baba alikuwa anatangaza apo Radio Tanzania miaka ya 1992,anaitwa Neema kipungahelo,cjui alipo mpaka now pamoja nafamilia yke ambaye mwanaye mmoja Ni Baba angu mzaz,,nmba zangu Ni 0779500004 nipo tabata

 6. nimeipenda sana sana ila kipindi cha mikingamo sijaliona,na yule bwana aliyekuwa anatayarisha hotuba za mwalimu, sa mbili kasorobo yu wa wapi? hasa wakati wa vita kule kagera,na ule muziki wa malimba ule.

 7. UMEJITAHIDI KIJANA ILA UMEPOTOSHA UMMA PALE ULIPOSEMA LENARD MAMBO MBOTELA HUYO NI WA KENYA NA ALIKUWA ANAONGOZA KIPINDI CHA JE! HUU NI UUNGWANA.NA HATA SASA BADO YUPO KBC.

Weka majibu hapa

Tafadhali weka maoni
Tafadhali weka majina yako hapa