Yajue Makundi 10 Rafiki na Hatarishi kwa Uongozi wa Rais Dkt. John Joseph Magufuli

0
158

Makundi Rafiki

  1. Kundi la kwanza ni lile linalomuunga mkono kwa moyo wa dhati
  2. Kundi la pili ni lile linalompinga kwenye baadhi ya maeneo kwa sababu ya kuboresha
  3. Kundi la tatu ni lile linalomuunga mkono kwa kutegemea malipo
  4. Kundi la nne ni lile linalomuunga mkono kwa woga
  5. Kundi la tano ni lile linalomuunga mkono kwa kufuata mkumbo

Makundi Hatarishi

  1. Kundi la kwanza ni lile linalomuunga mkono kinafiki ili aharibu na wako karibu naye
  2. Kundi la pili ni lile linalompinga kwa sababu za kicki za kuingia ikulu
  3. Kundi la tatu ni lile linalompinga kwa kurubuniwa na mamluki wa ndani na nje
  4. Kundi la nne ni lile linalompinga kwa sababu za kimaslahi ya kiuchumi
  5. Kundi la tano ni lile linalompinga kwa kufuata mkumbo

Leave your comment about Yajue Makundi 10 Rafiki na Hatarishi kwa Uongozi wa Rais Dkt. John Joseph Magufuli using the comment form below

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here